Lumenlabs

Lumenlabs

Ubunifu unaowasha biashara.

Mwanga na mifumo — vilivyoundwa Dar es Salaam.
LED lighting engineering and business software, built in Tanzania.

DukaPOS — mfumo wa mauzo kwa duka lako

  • Uza hata bila mtandao — data inasawazishwa mtandao ukirudi
  • Dhibiti madeni ya wateja wako
  • Ripoti za faida kila siku
Angalia DukaPOS

Taa za LED — Uhandisi wa Mwanga

Usanikishaji wa taa za pixel, udhibiti na programu, na kukodisha kwa matukio.

Angalia Taa

Lumenlabs ni kampuni ya Dar es Salaam inayotengeneza suluhisho za vitendo kwa wafanyabiashara wa Tanzania — kutoka uhandisi wa taa za LED za pixel hadi programu za kidijitali za kusimamia biashara.